Mkulima Mmoja Wa Samaki Kaunti Ya Embu Anakadiria Hasara Ya Kupoteza Zaidi Ya Samaki 300 Wachanga Akidai Kuwa Mradi Jirani Wa Unyunyizi Maji Ulizuia Maji Ya Mto Nyanjara Na Kusababisha Uhaba Uliowaangamiza Samaki Hao.Haya Yanajiri Licha Ya Serikali Ya Kaunti Hiyo Kutoa Onyo Dhidi Ya Kuzuia Mito Kwani Ukame Uliokithiri Ulikuwa Umesababisha Kupunguka Kwa Viwango Vyao
Category
🗞
News