Dereva Wa Gari Linalokisiwa Kusababisha Kifo Cha Afisa Wa Trafiki Tarehe 27 Mwaka Huu Katika Eneo La Buxton Kaunit Ya Mombasa Ameshitakiwa Kwa Mauaji Yasiyo Ya Kusudi. Osman Jama Abdi Nur Amefika Mbele Ya Hakimu Mkuu Wa Mombasa Martha Mutuku Kwa Shtaka La Kukisiwa Kuhusika Na Mauaji Ya Afisa Wa Trafiki Julius Mairaria Marwa. Osman Ameachiliwa Kwa Bondi Ya Shilingi Milioni 2 Na Mthamini Wa Kiasi Cha Shilingi Milioni Moja.
Category
🗞
News