Viongozi Wa Chama Cha ANC Na Wale Wa Maendeleo Chapchap Tawi La Uasin Gishu Wamemsuta Katibu Mkuu Wa Chama Cha UDA Cleophas Malala Na Kumtaka Kuheshimu Vyama Tanzu Katika Muungano Wa Kenya Kwanza Na Kukoma Kuingilia Maswala Ya Vyama Vingine.
Category
🗞
News