Wakaazi Wa Eneo Linalofahamika Kwa Kilimo La Maiella, Naivasha Kaunti Ya Nakuru Wamelalamikia Hali Ya Barabara Ya Maella-Ngondi-Kongoni Wakiwashtumu Viongozi Wa Kisiasa Kwa Kutumia Ahadi Ya Kukarabati Barabara Hiyo Kujivunia Kura. Aidha Wamesema Kuwa Kwa Miongo Mitatu Wamekuwa Wakipata Ahadi Zisizotimika Za Hali Ya Barabara Hiyo Kuboreshwa.
Category
🗞
News