Waziri Wa Leba Simon Chelgui Amesema Serikali Ina Mipango Ya Kuimarisha Lengo Kuu La Mradi Wa 'Hustler Fund' Kwa Wananchi Wenye Mapato Ya Chini Ili Kuinua Maisha Na Biashara Zao. Licha Ya Changamoto Zinazokumba Hustler Fund, Waziri Wa Leba Amesema Serikali Inalenga Kuwafikia Wakenya Wote Ili Wafaidi Na Hazina Hiyo.
Category
🗞
News