Shirika La Wanasheria Nchini Lsk Tawi La Embu Limeshtumu Serikali Ya Kaunti Hiyo Kwa Kuwahusisha Mawakili Bandia Katika Uhakikishaji Wa Vyeti Vya Wafanyikazi Wa Kaunti Hiyo.Mwenyekiti Wa Tawi Hilo Bi. Ann Migwi Amefichua Kuwa Ukaguzi Huo Ulifanywa Na Watu Ambao Hawajasajiliwa Kama Mawakili. Aidha Alisema Kuwa Watawasilisha Malalamishi Kuhusu Mawakili Hao Wanaodaiwa Kuwa Bandia Kwa Ofisi Kuu Ya Shirika Hilo Na Serikali Hiyo Ya Kaunti.
Category
🗞
News