Waziri Wa Ulinzi Aden Duale Amesisitiza Kuwa Serikali Imeweka Mikakati Yakupambana Na Magaidi Wa Al Shabaab Ili Kumaliza Visa Vya Mashambulizi Ambavyo Vimekuwa Vikishuhudiwa Eneo La Kaskasini Mashariki Na Hata Pwani.Kisa Cha Hivi Majuzi Kilishuhudiwa Katika Eneo La Hagarbur Karibu Na Kambi Ya Dadaab Ambako Maafisa Wawili Wa Usalama Waliuawa Na Wengine Wawili Kujeruhiwa
Category
🗞
News