Siku Chache Baada Ya Sakata Ya Wanafunzi Kutoka Kaunti Ya Uasingishu Waliokuwa Wamesafiri Kupata Masomo Nchini Finland Kutishiwa Kurejeshwa Humu Nchini, Kaunti Ya Uasingishu Imetangaza Kusitisha Shughuli Ya Wanafunzi Kusafiri Masomoni Katika Taifa Hilo Kwa Muda. Haya Yamejiri Wakati Uchunguzi Kuhusu Sakata Hiyo Unaendelea Huku Viongozi Wa Kaunti Hiyo Wakihimiza Wazazi Kuwa Watulivu.
Category
🗞
News