Serikali Imeweka Mikakati Ya Kupunguza Tozo Ya Bidhaa Zinazoagizwa Mataifa Ya Nje, Tozo Amabayo Inafikia Shilingi Bilioni 201 Kila Mwaka. Huku Ada Hizo Zikipanda Kwa Asilimia 15 Kila Mwaka, Serikali Imesema Suluhu Ni Kuwafaa Wakulima, Kuimarisha Teknolojia Na Kuangazia Gharama Ya Maisha.
Category
🗞
News