• 2 years ago
Tume Ya Kupigana Na Ufisadi Na Maadili Eacc Imezipa Notisi Kaunti 20 Ambazo Tume Hiyo Imetambua Kwamba Zinaendeleza Ufisadi Wa Pesa Za Kaunti Kupitia Malipo Ya Faida Ya Pesa Za Matumizi Ya Ziada. Tume Hiyo Imelaumu Kaunti Zinazochunguzwa Kwa Kusema Kwa Wanatumia Mchakato Wa Kilipa Fidia Hizo Kuibia Wananchi. Kulingana Na Afisa Wa Mahusiano Ya Ushirikiano Eacc Eric Ngumbi Kaunti Zimepoteza Mamilioni Ya Pesa Na Wahasibu Wa Kaunti Hizo Watakaopatikana Wameshirikiana Na Maafisa Wengine Wa Kaunti Watachukuliwa Hatua Kali Za Kisheria.

Recommended