Kama Hatua Ya Kusitisha Mgomo Unaotarajiwa Kutoka Kwa Serikali Za Kaunti, Wizara Ya Fedha Inasema Itatoa Mgao Wa Shilingi Bilioni 39 Kwa Serikali Za Magatuzi Kufikia Ijumaa Wiki Hii. Jumatatu Magavana Walionya Kuwa Watasitisha Utoaji Wa Huduma Ikiwa Serikali Kuu Haitawatumia Mgao Wao Wa Fedha Zilizobaki Mwaka Huu Wa Kifedha Unaoisha Juni 30.
Category
🗞
News