Mahitaji:\r \r Unga wa ngano mweupe vikombe 4\r Unga wa brown/ whole wheat 2\r Chumvi kijiko kikubwa 1\r Samli/mafuta ya kukandia imoto vjiko vikubwa 4-5\r Maji vikombe 2 ( unawaza kupunguza au kuzidisha vijiko 2 vikubwa)\r \r Samli/mafuta nusu kikombe ya kusokota na kuchomea