Siri ya Mtungi - Sehemu ya 17 (with English Subtitles)

  • 8 years ago
Mzee kizito hawezi vumilia hali ya pale nyumbani. Ugonvi na tuhuma za wake zake Farida na Nusura zinamfanya aende kufanya kazi usiku kwenye gereji yake. Siri za Nusura na hekaheka za Farida zimetia sumu ndoa hiyo ya mitara. Watoto wanazaraulika. \r
Duma anajikita na Golden na kutambulishwa kwa mshirika mpya alie changamka Ishi. Ghafla Duma anajikuta ana gari, pesa na ahadi ya Maisha mazuri. Duma anamtelekeza mdogo ake Stephen na kujikuta akiishi kwa mwalimu Mwanga baada ya kushinda tuzo ya mashindano ya Hesabu shuleni. Kizito anavua ovaloli analotumia kilasiku, anavaa viatu vinavyo ngaa na Koti anaondoka na kumwacha Nusura na Farida wakijiuliza anakwenda wapi, anafanya nini na kwa muda gani anaondoka.\r
\r
\r
SUBSCRIBE:

Recommended