Tatizo La Kisauni

  • 6 years ago
Je, iwapo mwanao nduguyo au jamaa wa jamii yako ni mhalifu, unaweza kupasha habari vyombo vya usalama?
Je, hatua hiyo itakuwa ni usaliti?
Hii ndio taswira inayokumba familia nyingi kaunti ya Mombasa,haswa Kisauni ambako wahalifu twalala nao,twaamka nao, twashinda nao, twala nao na twanywa nao.
Haya ni makala ya Tatizo La Kisauni naye Francis Mtalaki.

Recommended