• 4 years ago
Viongozi Wa Dini Ya Kiislamu Sasa Wanasema Kuwa Watakuwa Wanatoa Mwelekea Wa Ni Mgombea Yupi Wa Urais Watakaye Muunga Mkono Kuwania Urais Katika Uchaguzi Wa Mwaka Ujao. Wanasema Kuwa Inatamausha Kwamba Kunao Baadhi Ya Viongozi Wa Kidini Wanaohongwa Ili Kuwapigia Upato Viongozi Wasiokua Na Maadili. Wametoa Wito Wa Amani Huku Taifa Likielekea Katika Uchaguzi Mwaka Ujao.

Recommended