Wakaazi Wa Loiyangalani Kaunti Ya Turkana Walalama Kusalia Gizani

  • 3 years ago
Ikiwa Imesalia Siku Tatu Kuadhimisha Sikuu Kuu Ya Krismasi, Sehemu Mbali Humu Nchini Zinatarajiwa Kuwa Na Giza.Hii Ni Kutokana Na Kikingi Cha Umeme Ambacho Kina Kilowatti 220 Kuanguka Eneo La Loiyangalani-Suswa.

Recommended