• 3 years ago
Mtu Mmoja Amejeruhiwa Na Moto Katika Shambulizi Lingine Huku Nyumba Tatu Zikiteketezwa Kijiji Cha Kilimani Mokowe Eneo La Lamu Ikiwa Siku Ya 10 Ya Mashambulizi Yanayotekelezwa Na Wahalifu. Haya Yanajiri Huku Katibu Katika Wizara Ya Usalama Karanja Kibicho Akisema Kuwa Serikali Itahakikisha Imewafurusha Wanaotatiza Amani Lamu Aidha Semi Zake Leo Huenda Ikaibua Hisia Mseto Miongoni Mwa Wakaazi Wa Lamu. Kwengineko Shule Zaidi Ya Kumi Zimefungwa Kaunti Ya Baringo Kutokana Na Ukosefu Wa Usalama.

Recommended