• 2 years ago
Hali Ya Taharuki Imetanda Kijiji Cha Kapushen Wadi Ya Tambach Pokot Kusini Baada Ya Wezi Wa Mifugo Kuvamia Eneo Hilo Usiku Wa Kuamkia Jana Na Kuiba Idadi Ya Mifugo Isiyojulikana.Mwakilishi Wadi Wa Eneo Hilo Samuel Timtim Amelaani Kisa Hicho Na Kuitataka Serikali Kufanya Hima Kurejesha Mifugo Hao.

Category

ЁЯЧЮ
News

Recommended