• 8 years ago
Msimu wa pili unamwonesha Duma akienda kwenye tukio la mwisho na Golden.\r
Mzee kizito ameschukia kuona Badi anamwitaji Sabrina kwa muda mwingine wa mazoezi ya taarabu, Nusura anahamasisha Sabrina aoneshe kipaji, Ghafla Nusura anajiskia uchungu wa kujifungua,Mzee Kizito anapo harakishwa kwenye hospitali, Duma na Golden wamevamiwa wanarudi mjini. Kuna vilio vingi. Kwa baati Duma anavyo fika hospitali na mtoto ndio anazaliwa,katika studio za mtungi Umeme unakatiaka na kusitisha zoezi zima la onesho la mitindo. Kwenye Giza Cheche anagusana na kitu ambacho wamekua wakigombania na sharima kwa muda mrefu sana ni ufunguo wa maisha yake ya baadae.\r
Wakati huo huo Sabrina anaimba kwa upendo na tumaini jema kwa kizazi kipya.\r
\r
\r
SUBSCRIBE:

Category

📺
TV

Recommended