• 4 years ago
Gavana Wa Machakos Alfred Mutua Pamoja Na Gavana Wa Laikipia Nderitu Muriithi Wanasisitiza Kuwa Kucheleweshwa Kwa Mgao Wa Fedha Majimboni Bado Ndio Changamoto Kuu Inayokumba Ugatuzi. Wakizungumza Kaunti Ya Laikipia Magavana Hao Wameitaka Wizara Ya Fedha Kuelekeza Fedha Za Kutosha Majimboni Kwani Kuna Baadhi Ya Wafanyikazi Katika Kaunti Kadhaa Ambao Hawajapokea Mishahara Hadi Kufikia Sasa.

Recommended