Siri ya Mtungi Sehemu ya 8 (Episode 8 with English Subtitles)

  • 9 years ago
Mke wa kwanza wa Mzee Kizito, Farida, hafurahishwi hata kidogo na ujio wa bi harusi, Nusura, na anafanya juhudi zote kutoonyesha hali hiyo.\r
\r
Cheche anafanya kosa jingine kubwa pale anapoamua, binafsi, kumpelekea Lulu, picha zake kwenye nyumba yake ya ufukweni. Pamoja na dhamira yake safi, jambo moja linazua jingine na mwisho wa yote pikipiki yake inamgomea kuwaka na kujikuta kachelewa kuwahi kwenye uzao wa mtoto wake! \r
\r
---------\r
\r
Mzee Kizitos first wife, Farida, is not happy at all with the incoming bride, Nusura, and she makes attempt to hide it. \r
\r
Cheche makes another miscalculation when he decides to take Lulus photographs personally to her beach house. Despite all his best intentions, one thing leads to another and when his motorbike wont start, he is late for the birth of his own child!\r
\r
-----------------\r
\r
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.\r
\r
Bongo Filamu

Recommended