• 8 years ago
Cheche anapata mkataba wa kufurahisha wa kupiga video ya muziki wa Bongo Flava. Ni kazi anayoifanya kwa mara ya kwanza. Lakini pale anapomsahau Shoti kwenye baa moja ya barabarani, Mwanaidi anaanza kupoteza uvumilivu wake kwa mkwewe mzembe.\r
\r
Ni mwanzo mpya kwa Stephen katika shule nyingine. Duma anaanza kuelewa kwamba anawajibika kumtunza mdogo wake na hali kadhalika yeye mwenyewe.\r
\r
Farida yumo kwenye njama ya kumfanyia ufidhuli Nusura na mimba yake. Lakini mapambano yake yanaposhindikana, anamwendea kinyume Kizito na kuelekea kwa Mgongo, mganga wa kienyeji, na kwa Furaha, fundi cherehani mmbeya. \r
\r
----------------------------\r
\r
Cheche gets an interesting assignment to shoot a Bongo Flava pop video. Its his first ever. But when he forgets Shoti behind at a roadside bar, Mwanaidi starts to lose patience with her negligent son-in-law. \r
\r
Its a new start for Stephen at another school. Duma begins to learn that he has to take care of his brother as well as himself. \r
\r
Farida is on a mission to create mischief with Nusura and her pregnancy and when confrontation doesnt work she goes behind Kizitos back to Mgongo the witchdoctor and Tailor Furaha the gossip.\r
\r
-----------------\r
\r
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.\r
\r
Bongo Filamu

Category

đź“ş
TV

Recommended