Kulizuka Kizaazaa Katika Eneo La Kadongo Katika Eneo Bunge La Kisauni Baada Mtoto Mmoja Mwenye Umri Wa Miezi Minne Kufariki Katika Mazingira Tatanishi. Polisi Wameanzisha Uchunguzi Huku Majirani Wakimnyoshea Kidole Cha Lawama Mama Mzazi Anayedai Kuwa Mwanawe Alivamiwa Na Panya.
Category
🗞
News