• 4 years ago
Mwanafunzi Wa Darasa La Nane Anauguza Majeraha Mabaya Yaliyompelekea Kuwa Na Tatizo La Kutembea Vizuri Baada Ya Kupokea Kichapo Cha Mbwa Shuleni.Inadaiwa Mwanafunzi Huyo Alipokea Kichapo Hicho Kutoka Kwa Waalimu Wanne Baada Ya Kupatikana Na Simu Ya Mkononi Shuleni.Kulingana Na Ripoti Ya Hospitali Mwanafunzi Huyo Aliumia Vibaya Katika Sehemu Zake Za Siri…

Category

🗞
News

Recommended