• 3 years ago
Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 23 Amekuwa Tabasamu La Wakaazi Wa Kijiji Cha Chokwe Kaunti Ya Kilifi,Hii Ni Baada Ya Kutengeneza Gari Kwa Kutumia Injini Ya Pikipiki.Kilichowashangaza Wengi Ni Kuwa Tyson Timothy Hajawai Ingia Katika Darasa La Uhandisi Mitambo.Familia Ya Kijana Huyu Sasa Inaitaka Serikali Na Wasamaria Wema Kutambua Na Kupiga Jeki Talanta Ya Mwana Wao.

Recommended