• 3 years ago
Siku Moja Baada Ya Kujiuzulu Kwa George Natembeya Wadhifa Wa Kamishna Wa Eneo La Rift Valley, Katibu Katika Wizara Ya Usalama Dkt. Karanja Kibicho, Ametangaza Kuhamishwa Kwa Makamushna Wa Maeneo. Haya Yajiri Huku Hatua Ya Nayembeya Ya Kujitosa Siasani Ikizidi Kuzua Hisia.

Recommended