• 4 years ago
Huku Gharama Ya Juu Ya Maisha Ikizidi Kuwa Mwiba Kwa Wengi.Wakenya Wengi Wameishia Kusafiri Na Hata Kufanya Kazi Katika Mataifa Ya Uarabuni.Mary Wanjiru Mwenye Umri Wa Miaka 32 Alipopata Nafasi Ya Kusafiri Saudi Arabia,Alijua Kwamba Mwanga Wa Maisha Mzuri Ulikuwa Umeanza Kuangaza,Ila Alipofika Kule Mambo Yakabadilika,Uamuzi Ambao Anajutia Kuufanya Hadi Wa Leo.

Recommended