• 4 years ago
Kuchokora Mabomba Ya Taka Ili Kujipatia Riziki Ya Kila Siku Na Kuweza Kuishi Jijini Nairobi, Ilikuwa Ni Kawaida Kwa Peninah Wambui Kwa Zaidi Ya Muongo Mmoja. Ni Kwa Hali Hii Ambayo Aliishi Na Kujaribu Kwa Udi Na Uvumba Kuboresha Maisha Yake Na Kuwalisha Watoto Wake Tisa Katikati Mwa Jiji La Nairobi. Wambui Anafichua Kuwa Hakuwahi Dhani Atakuwa Mlalahoi Lakini Makali Ya Maisha, Umaskini Na Ndoa Za Mapema Yalimfanya Kulala Jalalani.

Recommended