• 3 years ago
Mandugu Wawili Kutoka Kaunti Ya Bungoma, Wamebaki Wakiuguza Majeraha Mabaya Baada Ya Mgogoro Wa Ardhi Kuzuka. Kwa Mujibu Wa Mmoja Wa Ndugu Waliojeruhiwa, Mama Wa Kambo Aliuza Ardhi Hiyo Na Kumwacha Mwanawe Wa Kambo Bila Makao.

Recommended