• 4 years ago
Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 10 Anapigania Maisha Yake Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Siaya Katika Kaunti Ya Siaya Baada Ya Kupata Majeraha Kutokana Na Shughuli Ya Kumtoa Mapepo Yaliyomwendea Mrama. Kulingana Na Nyanyake Rose Obare, Mvulana Huyo Alikuwa Na Mazoea Ya Kutoroka Nyumbani Na Shuleni Ili Likimlazimu Kutafuta Waganga Kumgangua. Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hiyo.

Recommended