• 4 years ago
Wito Unazidi Kutolewa Kwa Serikali Kulegeza Masharti Yaliyowekwa Kukabiliana Na Virusi Vya Corona Hasa Katika Maeneo Ya Kuabudu. Viongozi Wa Makanisa Kutoka Katika Kaunti Ya Nakuru Wanamsihi Rais Kuondoa Sheria Hizo Kanisani. Haya Yanajiri Huku Wengi Wa Waumini Katika Makanisa Kaunti Ya Nairobi Wakiendelea Kukiuka Sheria Zilizowekwa Kukabiliana Na Covid-19 Kama Vile Kuvaa Barakoa Na Kuzingatia Umbali Wa Mita Moja Unusu Na Mwingine.

Recommended