• 4 years ago
Leo Tunaadhimisha Siku Ya Kimataifa Ya Kutokomeza Ukatili Dhidi Ya Wanawake, Juu Ya Siku 16 Za Harakati Itakayohitimishwa Siku Ya Kuadhimisha Siku Ya Kimataifa Ya Haki Za Binadamu. Mwakilishi Wa Mwanamke Kaunti Ya Murang'a Sabina Chege Kupitia Ofisi Yake Amezindua Kampeni Ya Kupigana Na Ukatili Wa Kijinsia Nchini.

Recommended