• 4 years ago
Wahudumu Wa Afya Nchini Wameapa Kuandamana Ifikiapo Siku Ya Alhamisi Wiki Hii Kutokana Na Kile Wanadai Ni Kupewa Sikio Butu Na Bima Ya Kitaifa Ya Afya Nchini.Muungano Huo Umeshikilia Kuwa Wasimamizi Katika Nhif Wameenda Kinyume Na Maelekezo Wa Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Ya Kuwahudumia Wagonjwa Wa Nhif Katika Hospitali Mbali Mbali Nchini.Na Sasa Huenda Kukawa Na Jipu La Ufisadi Ndani Ya Bima Hiyo Ya Afya Inayopania Kuwahangaisha Wakenya Nchini

Recommended