Huku Wanafunzi Zaidi Ya Laki Saba Wakitarajiwa Kujiunga Na Vyuo Mwezi Ujao, Wazazi Nchini Wanashikilia Kuwa Kuna Ukosefu Wa Fedha Na Baadhi Yao Hawana Uwezo Wa Kuwapeleka Wanao Vyuo Hivo. Haya Yanajiri Wakati Wanafunzi 143,140 Ambao Walipata Alama Ya Chaa Ongeza Ndio Watapa Nafasi Ya Kujiunga Na Vyo Vikuu Pekee Huku Waliosalia Watajiunga Vyuo Vya Ufundi. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Taarifa Hiyo
Category
🗞
News