• 4 years ago
Walimu Wakuu Wa Shule Za Sekondari Wanatakiwa Kuweka Ratibu Bunifu Ambayo Itawahusisha Pakubwa Wanafunzi Kuwazuaia Kuzua Vurugu Shuleni.Kulingana Na Ripoti Ya Idara Ya Upepelezi Nchini Dci,Visa Vya Utovu Wa Nidhamu Shuleni Kuanzia Oktoba Mwaka Huu Vimetokea Kwa Zaidi Ya Shule 200 Haswa Katika Shule Za Upili Huku Eneo La Kati Likiongoza Na Visa 63.

Recommended